Sunday, September 22, 2013

MFAHAMU MWIMBAJI ROSE ISEMBA

Posted by Savior Ministry at 10:51 PM 2 Comments
Kwa JINA naitwa ROSE ISEMBA ni Mzaliwa wa MBEYA. Nimuhitimu wa Chuo kikuu cha dodoma(UDOM) Kipekee namshukuru sana MUNGU kwaajili ya HUDUMA ALIYOWEKEZA NDANI YANGU, Maisha yangu ya HUDUMA YA UIMBAJI ulianza tangu nikiwa MDOGO na kwa UPENDO wa MUNGU ambaye ni BABA yangu SITOACHA mpaka nimalize Mwendo wangu katika KRISTO YESU. Nakumbuka nilipokuwa Kidato cha KWANZA nilikuwa nikiimba nyimbo mbalimbali tu, YESU aliniokoka nikiwa KIDATO CHA PILI ambapo nilimpokea RASMI kamba BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Tangu hapo nilianza kutumikia WITO wangu ambao niliupokea toka kwa BABA YANGU YESU.  Hivyo kutokea hapo niliimba kipindi chote nikiwa SHULENI, Nimekutana na CHANGAMOTO NYINGI SANA lakini YESU hakuniacha hata kidogo. ASANTE SANA YESU kwa kunichagua KWAKUWA, YOU HAVE SEEN THE BEST IN ME.
GLORY TO GOD!
Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

2 comments:

  1. Amen mjoli! Mungu aliyekuita katika huduma hii, asikuache wala asikupungukie kwa chochote. Na zaidi uzidi kuongeza maarifa katika kumtumikia yeye! Mungu awe nawe daima.

    ReplyDelete
  2. Ubariki sana dadangu tuko pamoja sana

    ReplyDelete

The Savior Ministry Live Chat

© 2016 Savior Ministry.
Powered by Themes24x7 .
back to top