Kwa JINA naitwa ROSE ISEMBA ni Mzaliwa wa MBEYA. Nimuhitimu wa Chuo kikuu cha dodoma(UDOM) Kipekee namshukuru sana MUNGU kwaajili ya HUDUMA ALIYOWEKEZA NDANI YANGU, Maisha yangu ya HUDUMA YA UIMBAJI ulianza tangu nikiwa MDOGO na kwa UPENDO wa MUNGU ambaye ni BABA yangu SITOACHA mpaka nimalize Mwendo wangu katika KRISTO YESU. Nakumbuka nilipokuwa Kidato cha KWANZA nilikuwa nikiimba nyimbo mbalimbali tu, YESU aliniokoka nikiwa KIDATO CHA PILI ambapo nilimpokea RASMI kamba BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Tangu hapo nilianza kutumikia WITO wangu ambao niliupokea toka kwa BABA YANGU YESU. Hivyo kutokea hapo niliimba kipindi chote nikiwa SHULENI, Nimekutana na CHANGAMOTO NYINGI SANA lakini YESU hakuniacha hata kidogo. ASANTE SANA YESU kwa kunichagua KWAKUWA, YOU HAVE SEEN THE BEST IN ME.
GLORY TO GOD!
Sunday, September 22, 2013
MFAHAMU MWIMBAJI ROSE ISEMBA
Posted by Savior Ministry at 10:51 PM
2 Comments
Tags: Habari
Welcome
YESU Asifiwe!
Tunapenda kuwakaribisha Watu wote katika Website yetu ya Savior Ministry, Huduma hii inahusisha madhehebu mbalimbali, lengo nikuwa na umoja katika Kristo YESU nakuwa katika Umoja
Ministry LOGO

Amen mjoli! Mungu aliyekuita katika huduma hii, asikuache wala asikupungukie kwa chochote. Na zaidi uzidi kuongeza maarifa katika kumtumikia yeye! Mungu awe nawe daima.
ReplyDeleteUbariki sana dadangu tuko pamoja sana
ReplyDelete