1 Samwel 8:7
“BWANA
akamwambia Samwel, Isikilize sauti ya
watu hawa katika kila nenowatakalokuambia; kwa maana awakukukataa wewe, bali
wamenikataa mimi, ili nisiwe mfame juu yao”.
BWANA YESU
Asifiwe, katika mistari ya hapo kabla ya mlango wa nane wa kitabu cha Samweli
ukiangalia taona wana wa Israeli walikuwa hawaonngozwi na Mfalme bali waamuzi
na watumishi wa MUNGU (Manabii nk)ila ilifika kipindi wana wa Israeli
wanamuomba MUNGU awape mfalme.
Mungu wakati ule
alitamani yeye pekee ndiye awe mfalme wao, awaongoze wana wa Israel kama mfalme
wao. Lakini sababu wanawa Israel waliona mataifa yote yanayowazunguka wana
mfalme nao wakataka kuiga , ila haikuwa kusudi na mpango wa Mugu wao waongozwe
na mfalme.
Mungu hakupanga
wao waongozwe na mfalme, alitaka yeye ndiye awe falme wao. Halleluya!!!
Ila walikataa Samweli
hakupendezwa pia na jambo hilo ila soma tena maneno ya MUNGU aliye mjibu
Samweli mstari wa saba(7). Ni maneno ya
kusikitisha na kuumiza sana MUNGU anasema Israel amemkataa yeye, hawa kumkataa
Mtumishi wake Samweli bali walimkataa
MUNGU mwenyewe.
It’s painful,
REJECTION hurts.
Sasa mpendwa
jiulize mara ngapi MUNGU ameumiaakisema Fulani hukumkataa mtumishi wangu
umenikataa mimi…
Umeonywa,
umeambiwa acha hichisio kizuri, maandiko yamekataa umeishia kuwa chukia na kuwanunia
watu wa MUNGU. Na kukubusha Mpendwa unamkataa MUNGU na NENO lake na siyo huy aliyekuonya.
Eti sababu kila
mtu anafanya dhambi hata mchungaji wangu kwanini na mimi nisifanye,
Eti sababu watu
wote hata wakristo wanazini, wanatoa mimba pamoja na kwamba ni kinyume na NENO
la MUNGU.
Jua UMEMKATAA
MUNGU, ebu kumbuka ulipanguka UKATUBU.
Mungu ni
warehema, amejaa NEEMA SI MWEPESI wa HASIRA bali ni mwingi wa REHEMA.
Kama UMEOKOKA na
Ukarudi nyuma tubu kabla hujachelewa na uishi sawasawa na NENO la MUNGU.
Mathayo 3:2, 8, 10
Kama HAUJAOKOKA Mpe YESU maisha yako LEO.
Kumbuka saa ya WOKOVU ni SASA na wakati ULIOKUBALIKA ndio huu. 2 Wakoritho 6:2
Wasiliana Nami
kwa Maombi na Ushauri
Ladies
Co-ordinator
0767 – 276517
0 Comments: