Wakolosai 3:16.
"NENO la KRISTO na likae kwa WINGI ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana nakuonyana kwa zaburi, mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu,"
Mkristo kama husomi neno la Mungu na tena sio kwa kurashia bali seriously kusoma neno mpaka ukasomeka kuwa wewe ni mwananfunzi wa Neno la Mungu huna namna kabisa ya kuweza kupima na kupambanua ujinga, uwongo na mazingaombwe yanayoendelea sasa hivi.
Huna namna kabisa ya kutofautisha watumishi wa kweli na wale wa uwongo.
Huna kabisa.
Hamna kitu kama kumwomba Mungu akusaidie kujua.
Ila kuna kitu kinaitwa kuweka bidii kusoma ili sasa kupitia maarifa hayo ya KiMungu ndani yako Roho Mtakatifu akuongoze na kukusaidia.
Hamna kitu kama kuongozwa na Roho Mtakatifu bila neno.
Kama huna neno huwezi kuongozwa na Roho Mtakatifu. Hapo unaongozwa na hisia zako huku ukidhani ni Roho Mtakatifu anakuongoza.
Mpenzi neno la Mungu ndo taa ya miguu yako na nuru ya njia yako. Zaburi 119:105
Bila neno wewe kudanganywa ni rahisi sana.
Kuuamini uwongo ni rahisi sana. Aise soma neno.
Hizi ni nyakati za hatari sana.
Bila neno la Mungu utasombwa na wimbi la udanganyifu mchana kweupe.
Neno na neno peke yake ndo linaweza kukusaidia kupambanua na kujua zipi mbichi zipi mbivu.
Aise soma neno la Mungu acha mchezo.
Nashtushwa sana jinsi ambavyo ni rahisi mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo kusba watoto wa Mungu na wala hawashtuki.
Aise soma neno. Acha kucheza kamari na maisha yako ya wokovu na uzima wako wa milele.
Zingatia siku moja usije ukajuta.

0 Comments: