Nakutakia BARAKA ZA MUNGU katika KIPINDI HIKI, Inawezekena umepitia MAGUMU mengi kwa mwaka huu na unajiuliza WHY MIMI, nataka nikwambie ILI DHAHABU IWE SAFI LAZIMA IPITE KWENYE MOTO, ndugu yangu katika KRISTO YESU napenda uje pia yakuwa MUNGU BADO ANAMPANGO NA MAKUSUDI NA WEWE, na kumbuka KUTUNZA HAZINA YAKO(THAMANI YAKO) kwaku MBEBA MAONO ni JICHO LA MUNGU wewe ng'ang'ana na MUNGU kaa katika kumjua MUNGU, kutafuta USO WA MUNGU.
Welcome
YESU Asifiwe!
Tunapenda kuwakaribisha Watu wote katika Website yetu ya Savior Ministry, Huduma hii inahusisha madhehebu mbalimbali, lengo nikuwa na umoja katika Kristo YESU nakuwa katika Umoja
Ministry LOGO

0 Comments: