Usije ukategemea NGUVU ZA MUNGU nyingi wakati WEWE UMEWEKEZA
NGUVU KIDOGO>>> Biblia inaeleza wazi katika Waefeso 3:20 “Basi
atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au
tuyawazayo, kwa kadiri ya NGUVU itendayo kazi ndani YENU” Sasa unaweza kuona
yakuwa NGUVU iko ndani ya MTU, sasa ni nafasi yako WEWE KUWEKEZA MDA WAKO NA
MUNGU. Kwaajili ya NGUVU ITENDEKE NDANI YAKO (IJAE). Hata BULB inapotoa MWANGA
inatoa MWANGA tokana na NGUVU YA BULB iliyowekewa ndo maana kuna BULB ya Watt
40, 60, 100 sasa kama wewe unataka BULB ya
Watt 40 na MWANGA haukutoshelezi unahitaji mwanga mwingi kidogo labda unataka
Watt 60 swala siyo BULB iongeze MWANGA swala ni kuingia wewe GHARAMA kwaajili
ya kununua BULB YA Watt 60 unayohitaji.
Kama UMEKWAMA NA ULIKUWA HAUJUI namna ya kuweka SWITCH yako
VIZURI na unaamini YESU amenipa MAFUTA YA KUELEKEZA NA KUWASHA HIYO SWITCH
NDANI YAKO, Karibu Uwasiliane NAMI
Edwin Mosha
0767119779
0655119779
0 Comments: