Friday, November 22, 2013

MFAHAMU MTUMISHI WA MUNGU MDEE JUNIOR NA MKEWE MARIA MDEE KATIKA SEGMENT YAO YA "DRAM ME CLOSE"

Posted by Savior Ministry at 11:33 AM 1 Comment
Huu ni utambulisho wa ujio wa segment yao mpya inayoenda kwa jina la '' DRAW ME CLOSE ''.
Mke wake pamoja na Mumewe(Mdee Junior) wanapenda kuwakaribisha tujifunze pamoja pia tuwe watazamaji na wanafunzi wazuri wa segment hii kupitia account yao ya facebook na Ukurasa wao wa facebook ambao ni: https://www.facebook.com/draw.close.

Kwenye segment hii watakuwa wanazungumzia zaidi maisha ya imani na nguvu ya kumkaribia Mungu: YAKOBO 4:8.
MFULULIZO HUU UTAHUSISHA PIA WATUMISHI MBALIMBALI WALIOPAKWA MAFUTA NA BWANA!

Tambua kuwa hivyo ulivyo leo ni matokeo ya kile ulichokiamini au unachokiamini.

******************************************************
HIKI NDICHO KILICHOSABABISHA MKE WAKE NA YEYE APOSTLE MDEE JUNIOR WAANZISHE SEGMENT HII.

* Iko nguvu katika kumkaribia Mungu.
* Kuna nguvu ya uponyaji katika kumkaribia Mungu.
* Kuna maisha ya ushindi katika kumkaribia Mungu.
* Kuna nguvu ya ukombozi katika kumkaribia Mungu.
* Kuna nguvu ya kumshinda adui yako katika kumkaribia Mungu.
* Kuna ukuaji wa kiroho katika kumkaribia Mungu.
* Kuna kuinuliwa katika kumkaribia Mungu.
* Kuna kuongezeka kiwango cha imani katika kumkaribia Mungu.
* Kuna nguvu ya ufunuo katika kumkaribia Mungu.
* Nguvu ya kukutoa hapo ulipo kwenda mahali pengine/hatua nyingine Ipo katika kumkaribia Mungu.
* Huwezi kumpendeza Mungu usipomkaribia Mungu (IMANI).
* Uponyaji wa mioyo/nafsi zilizoumizwa upo katika kumkaribia Mungu.


SEGMENT HII ITAKUJIA MARA MOJA KWA WIKI ( KILA JUMATATU ).

  Wanahitaji Comments zenu/ushauri/maoni, wapi waongeze au wapi wapunguze.
NB: Maoni yenye kujenga ndio yatakayofanyiwa kazi tu!

Mawasiliano yao:

Wasiliana nao In Box Facebook:
Mdee Junior
TAZAMA VIDEO YA SEGMENT HIYO KWA KUPLAY HAPO CHINI 


Mungu awabariki

Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

1 comment:

  1. Amen!
    Tunamshukuru Mungu maana tumekusudia kuyagusa maisha yako kupitia Neno la Mungu na kwa Mkono wa Roho Mtakatifu.

    Maoni yako ni ya maana sana kwetu ili kuboresha Segment hii.

    Unaweza pia kutoa maoni yako kwa urahisi, bofya hapa: http://mdeejunior.blogspot.com Utaona mahali pameandikwa ''Client Testimony / Ushuhuda'' utabonyeza hapo utatokea ukurasa ambao utaandika maoni yako! Ujumbe wako hakuna atakayeweza kuuona isipokuwa mke wangu na mimi tu na kama utapenda kila mtu aone endapo itakuwa ni ushuhuda wa kuwajenga watu pia waweza kutujulisha hapo nasi tutafanya hivyo.

    Asanteni na Mungu wetu (aliyezifanya mbingu na nchi) awabariki sana.

    ReplyDelete

The Savior Ministry Live Chat

© 2016 Savior Ministry.
Powered by Themes24x7 .
back to top