Saturday, November 2, 2013

KONGAMANO LA MAOMBI KWAAJILI YA WANAFUZNI WA KIDATO CHA NNE

Posted by Savior Ministry at 7:03 AM 1 Comment
KONGAMANO HILI lilifanyika katika Kanisa la K.K.K.T-IGOMA, MWANZA-TANZANIA. ambapo Kongamano hili liliandaliwa maalumu kwaajili ya kuwaombea wanafunzi wa Kidato cha nne walinaoingia kwenye mtihani Jumatatu ya Tarehe 04/11/2013.

SOMO
"CHANZO"
Lililofundishwa na Mtumihi wa Mungu Edwin Mosha
MSTARI  ULILILOSIMAMIWA NI 2 WAFALME 2:19-21
"Watu wa mjini wakamwambia Elisha, Angaliatwakusihi, mahali pamji huu ni pazuri, kama bwana wangu aonavyo; lakini maji yake hayafai, na nchi huzaa mappoza. Akaema, Nileteeni chombo kipya, mtie chumbi ndani yake. Wakamletea. Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akaema, BWANA asema hivi, Nimeyaponya maji haya; hakutatoka huko tena kufa wala kuzaa mapooza".

Muonekano wa Madhabau
SIFA iliongozwa na MTUMISHI Emmanuel Zakayo(Zackimma)

Kaka ARON ISAYA akizungumza na Wanafunzi kama Mwanachuo wa Mwaka wa Nne akiwapa Mbinu za Msingi alikopitia pia yeye.
Mtumishi wa MUNGU, Edwin Mosha Akifundisha.







PICHA YA PAMOJA
PICHA YA PAMOJA
Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

1 comment:

  1. May God bless and be with you always Brother... I am happy for you bro...

    ReplyDelete

The Savior Ministry Live Chat

© 2016 Savior Ministry.
Powered by Themes24x7 .
back to top