Monday, October 14, 2013

MWANAMKE:HEKIMA YA MUNGU NI MTAJI MZURI KULIKO PESA

Posted by Savior Ministry at 10:13 AM 0 Comments
Mwanamke atamlinda Mwanaume
“…Kwa Maana BWANA Ameumba Jambo Jipya Duniani; MWANAMKE ATAMLINDA MWANAUME” (Yeremia 31:22).
Mmeo Akichukuliwa Na Kimada/ Nyumba Ndogo Lazima TUTAKUSHIKILIA “UISAIDIE SERIKALI YA MBINGUNI” Kutuambia Wewe Kama “MLINZI” Ilikuwaje “UKALALA LINDONI” Ama Kuondoka “KWENYE LINDO” Halafu “MWIZI AKAJA NA KUIBA NA KUHARIBU NDOA YAKO”

You Woman, You Are Responsible Of Any Theft That Will Occur In Your Marriage!
Inawezekana MWIZI Alikudanganya UKAJIACHIA Ukaacha KUPENDEZA KAMA KABLA HUJAOLEWA ETI KISA UMEZAA WATOTO WATATU NAYE!
Inawezekana MWIZI Alikudanganya UKAJISAHAU Ukaacha KUMTII NA KUMNYENYEKEA Kama Ulivyokuwa Ukifanya KABLA HAJAKUOA.
Inawezekana MWIZI Alikudanganya UKAJISAHAU Ukaacha KUSAMEHE HARAKA Kisha Ukajaza Uchungu Ndani Yako Halafu Mdomo Wako Ukaanza KUTOA MANENO ‘MBOFUMBOFU’ Jamaa Akaamua Kukupisha.
Inawezekana MWIZI Alikudanganya UKAJISAHAU Ukaacha KUOMBA SANA Kama Ulivyokuwa Ukiomba Kabla HUJAMPATA; Akakudanganya Eti Tayari Umeipata NDOA Haya JIBWETEKE, Halafu Alipokutoa KWA BWANA, Akakunyanganya Kidume Wako!
Hekima Ya Mungu Ni Mtaji Mzuri Kuliko Pesa; Pesa Haiwezi Kuongea Namna Hii; Lakini Hekima Ina Akili Sana, Inajua Yote!
Mwl D.C.K

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 Comments:

The Savior Ministry Live Chat

© 2016 Savior Ministry.
Powered by Themes24x7 .
back to top